WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Tuesday, January 19, 2021

WAJUMBE WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE WAPEWA MAFUNZO MBALIMBALI

Afisa wa Bunge Ndg. Amina Namtema akifafanua jambo alipokuwa akitoa mada kwenye mafunzo ya Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Kamati za Bunge Jijini Dodoma hii leo. 

Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika kwenye ukumbi wa Kamati za Bunge Jijini Dodoma hii leo. 
Mjumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira Mhe. Boniphace Getere akichangia jambo kwenye kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika kwenye ukumbi wa Kamati za Bunge Jijini Dodoma hii leo. 
Afisa Tehama wa Bunge, Ndg. Julius Lemwai akifafanua jambo alipokuwa akitoa mada kwenye mafunzo ya Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Kamati za Bunge Jijini Dodoma hii leo. 
Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo wakifuatilia jambo wakati wa mafunzo ya Kamati hiyo yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Kamarti za Bunge Jijini Dodoma hii leo. 
Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo wakifuatilia jambo wakati wa mafunzo ya Kamati hiyo yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Kamarti za Bunge Jijini Dodoma hii leo. 
Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakifuatilia jambo wakati wa mafunzo ya Kamati hiyo yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Kamarti za Bunge Jijini Dodoma hii leo.