Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika kwenye ukumbi wa Kamati za Bunge Jijini Dodoma hii leo. |
Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo wakifuatilia jambo wakati wa mafunzo ya Kamati hiyo yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Kamarti za Bunge Jijini Dodoma hii leo. |
Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo wakifuatilia jambo wakati wa mafunzo ya Kamati hiyo yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Kamarti za Bunge Jijini Dodoma hii leo. |
Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakifuatilia jambo wakati wa mafunzo ya Kamati hiyo yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Kamarti za Bunge Jijini Dodoma hii leo. |
No comments:
Post a Comment