KAMATI YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YAPEWA MAFUNZO JUU YA MASUALA YA UMILIKI WA ARDHI
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Ardhi, Maliasili na Utalii Mhe. Aloyce Kwezi akichangia jambo kwenye Mafunzo juu
ya mtazamo wa kijinsia katika umiliki wa ardhi hapa nchini yaliyotolewa kwa Wajumbe
wa Kamati hiyo kwa ushirikiano baina ya TGNP, WFT na HakiArdhi Jijini Dodoma.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi,
Maliasili na Utalii Mhe. Wakifuatilia jambo kwenye Mafunzo juu ya mtazamo wa
kijinsia katika umiliki wa ardhi hapa nchini yaliyotolewa kwa Wajumbe wa Kamati
hiyo kwa ushirikiano baina ya TGNP, WFT na HakiArdhi Jijini Dodoma.
Afisa Mwandamizi wa Program kutoka TGNP
Bi. Anna Sangai(katikati)akifafanua jambo kwenye Mafunzo juu ya mtazamo wa kijinsia katika
umiliki wa ardhi hapa nchini yaliyotolewa kwa Wajumbe wa Kamati ya Ardhi,
Maliasili na Utalii kwa ushirikiano baina ya TGNP, WFT na HakiArdhi Jijini
Dodoma.
No comments:
Post a Comment