Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Anthony Mtaka alipofika Ofisini kwake kujitambulisha Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge akiongoza kikao baina
ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Anthony Mtaka na Wabunge wa Mkoa wa Dodoma Ofisini kwake Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment