WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI
Monday, May 10, 2021
PICHA: SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI BUNGENI JIJINI DODOMA
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai aongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichokaa na kupendekeza majina ya wagombea wa nafasi za Wenyeviti wa Bunge pamoja na Mabadiliko ya ratiba ya Mkutano wa tatu wa Bunge kilichofanyika leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment