WAPEWA MAFUNZO JUU YA HALI HALISI YA MALEZI, MAKUZI NA MAENDELEO YA AWALI YA MTOTO NCHINI
Mwakilishi wa Shirika la Elizabeth Glacies
Foundation Ndg. Josephine Ferla akiwasilisha mada kwenye Semina ya Wabunge juu
ya Hali ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Morena Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Afya anayeshughulikia Maendeleo
ya Jamii, Mhe. Mwanaidi Ali Khamis akifafanua jambo kwenye Semina ya
Wabunge juu ya Hali ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto hii leo
Jijini Dodoma.
Mbunge wa Momba Mhe. Condester Sichalwe
akichangia jambo kwenye Semina ya Wabunge juu ya Hali ya Malezi, Makuzi na
Maendeleo ya awali ya Mtoto hii leo Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment