WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Saturday, June 12, 2021

SPIKA NDUGAI ASHIRIKI SEMINA KUHUSU UFANISI WA RANCHI ZA TAIFA

Mjumbe wa Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji Mhe. Dkt. Bashiru Ally akichangia jambo kwenye Semina kuhusu Ufanisi wa Ranchi za Taifa iliyotolewa kwa Wajumbe wa Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Elisante Ole Gabriel akifafanua jambo kwenye Semina kuhusu Ufanisi wa Ranchi za Taifa iliyotolewa kwa Wajumbe wa Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.


Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.
Abdallah Ulega  akifafanua jambo kwenye Semina kuhusu Ufanisi wa Ranchi za Taifa iliyotolewa kwa Wajumbe wa Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. 


Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji  Mhe. Dkt. Christine Ishengoma akichania jambo kwenye Semina kuhusu Ufanisi wa Ranchi za Taifa iliyotolewa kwa Wajumbe wa Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. 



Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akifafanua jambo kwenye Semina kuhusu Ufanisi wa Ranchi za Taifa. Katika Semina hiyo Mhe Spika alitoa uzoefu wake kama Mbunge wa Kongwa kuhusu ufanisi wa Ranchi ya Kongwa kabla na baada ya uhuru. 



No comments:

Post a Comment