Wajumbe wa Chama cha Wabunge Wanawake (TWPG) wakimpatia zawadi
Bi. Nenelwa Mwihambi (wa pili kushoto) ya pongezi kwa kuteuliwa na
Mheshimiwa Rais kuwa Katibu wa Bunge katika tukio lililofanyika ukumbi wa Pius
Msweka Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge Wanawake (TWPG), Mhe. Shally
Raymond (wa pili kushoto) akizungumza wakati wa tukio la kumpongeza Bi. Nenelwa
Mwihambi kwa kuteuliwa na Mheshimiwa Rais kuwa Katibu wa Bunge katika
ukumbi wa Pius Msweka Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Bi. Nenelwa Mwihambi akizungumza wakati wa
tukio la kumpongeza kwa kuteuliwa na Mheshimiwa Rais kuwa Katibu wa Bunge
katika ukumbi wa Pius Msweka Jijini Dodoma.
Wanawake Watumishi wa Ofisi ya Bunge wakimpatia zawadi ya
pongezi Bi. Nenelwa Mwihambi (wa tatu kushoto) kwa kuteuliwa na Mheshimiwa Rais
kuwa Katibu wa Bunge katika tukio lililofanyika ukumbi wa Pius Msweka Jijini
Dodoma.
No comments:
Post a Comment