WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Sunday, June 6, 2021

WABUNGE WANAWAKE WAPEWA MAFUNZO NA LHRC JUU YA NAFASI YA MWANAMKE KAMA KIONGOZI

Sehemu ya Wabunge wakifuatilia kwa karibu kwenye Mafunzo ya Wabunge Wanawake juu ya nafasi ya mwanamke kama Kiongozi iliyofanyika hii leo kwenye ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma hii leo. 
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Dkt. Anna Mghwira akielezea jambo alipokuwa akitoa Mada juu ya nafasi ya Kiongozi Mwanamke katika ngazi mbalimbali kwa Wabunge Wanawake iliyofanyika kwenye ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma hii leo. 

Naibu Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson akifafanua jambo alipokuwa akitoa mada juu ya Maadili na Kanuni za Bunge kwa Wabunge Wanawake iliyofanyika kwenye ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma hii leo. 

No comments:

Post a Comment