Naibu Spika wa Bunge,Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akizungumza akipokuwa akifungua semina ya wabunge kuhusu makampuni yanayojihusisha na michezo ya kubahatisha jinsi yanavyofanya kazi zao hapa nchini na mchango wao katika uchumi wa nchi, iliyofanyika jijini Dodoma jana
Mwenyekiti wa Chama cha Waendesha Michezo ya Kubahatisha nchini, Jimmy Brian akitoa mada katika semina ya wabunge kuhusu michezo ya kubahatisha inavyofanyika hapa nchini na mchango wao katika kukuza uchumi wa nchi, iliyofanyika jijini Dodoma jana.
No comments:
Post a Comment