Mbunge
wa Viti Maalum anauewakilisha Vijana Mheshimiwa
Ng’wasi Kamani akichangia jambo kwenye
kikao cha Wabunge wanaounda Umoja wa Wabunge
Wanawake Tanzania (TWPG) walipokutana na Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMET) kujadiliana
juu ya uratibu wa kurudisha masomoni watoto wa kike walioacha masomo yao hapa
nchini kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma hii leo.
Ndg.
Sempeho Siafu Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMET) akifafanua jambo kwenye kikao
cha Wabunge wanaounda Umoja wa Wabunge Wanawake
Tanzania (TWPG) walipokutana na kujadiliana juu ya uratibu wa kurudisha
masomoni watoto wa kike walioacha masomo yao hapa nchini kilichofanyika kwenye
Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma hii leo.
Wajumbe
wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania
(TWPG) wakiwa kwenye kikao na Mtandao wa Elimu Tanzania
(TENMET) kujadiliana juu ya uratibu wa kurudisha masomoni watoto wa kike
walioacha masomo yao hapa nchini kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni
Jijini Dodoma hii leo.
Mwenyekiti
wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) Mheshimiwa Shally Raymond akifafanua
jambo kwenye kikao cha Wabunge hao
walipokutana na Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMET) na kujadiliana juu ya
uratibu wa kurudisha masomoni watoto wa kike walioacha masomo yao hapa nchini kilichofanyika
kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma hii leo. |
No comments:
Post a Comment