Mbunge wa Jimbo la Maswa Mashariki, Mhe. Stanslaus Nyongo akidaka mpira wakati Timu ya Bunge ya Mpira wa Kikapu ikifanya mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya Mabunge ya Nchi za Afrika Mashariki yanayotarajia kuanza Desemba 4, 2021 Jijini Arusha.
Timu ya Bunge ya Mpira wa Kikapu ikifanya mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya Mabunge ya Nchi za Afrika Mashariki yanayotarajia kuanza Desemba 4, 2021 Jijini Arusha.
Mbunge wa Mlimba, Mheshimiwa Godwin Kunambi akipiga mpira wakati Timu ya Mpira wa Miguu ya Bunge ikifanya mazoezi kwa jailli ya maandalizi mashindano ya Mabunge ya Nchi za Afrika Mashariki yanayotarajia kuanza Desemba 4, 2021 Jijini Arusha, nyuma ni Mbunge wa Dodoma Mjini Mheshimiwa Anthony Mavunde
Mbunge wa Chalinze, Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete akipiga mpira wakati Timu ya Mpira wa Miguu ya Bunge ikifanya mazoezi kwa jailli ya maandalizi mashindano ya Mabunge ya Nchi za Afrika Mashariki yanayotarajia kuanza Desemba 4, 2021 Jijini Arusha, nyuma ni Mbunge wa Dodoma Mjini Mheshimiwa Anthony Mavunde
No comments:
Post a Comment