Mchezaji wa Timu ya Bunge ya Mpira wa Pete, Mheshimiwa Esther Matiko akidaka mpira wakati Timu ya Bunge ilipocheza na Timu ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Shekhe Amri Abeid kwenye michuano ya michezo ya Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki inayoendelea Jijini Arusha.Timu ya Bunge iliibuka kidedea kwa Magoli 44-32
Mchezaji wa Timu ya Bunge ya Mpira wa Pete, Mheshimiwa Amina Mabrouk akidaka mpira wakati Timu ya Bunge ilipocheza na Timu ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Shekhe Amri Abeid kwenye michuano ya michezo ya Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki inayoendelea Jijini Arusha.Timu ya Bunge iliibuka kidedea kwa Magoli 44-32
Wachezaji wa Timu ya Bunge ya Mpira wa Pete (wenye nyeupe) wakichuana vikali na Timu ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Shekhe Amri Abeid kwenye michuano ya michezo ya Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki inayoendelea Jijini Arusha.Timu ya Bunge iliibuka kidedea kwa Magoli 44-32Wachezaji wa Timu ya Bunge ya Mpira wa Pete (wenye nyeupe) wakiwa katika picha ya pamoja na Timu ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar baada ya kumaliza kucheza katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Shekhe Amri Abeid kwenye michuano ya michezo ya Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki inayoendelea Jijini Arusha.Timu ya Bunge iliibuka kidedea kwa Magoli 44-32
No comments:
Post a Comment