Mshambuliaji wa Timu ya Mpira wa
Miguu ya Bunge la Tanzania, Simai Hassan Sadiki (kulia) akimtoka Beki wa Timu
ya Burundi wakati wa mechi ya Mashidano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya
Afrika Mshariki inayoendelea Jijini Arusha. Timu ya Tanzania ilishinda kwa goli
5-1.
Nahodha wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Bunge la Tanzania, Cosato Chumi (kushoto) akidhibiti mpira mbele ya Mabeki wa Timu ya Burundi wakati wa mechi ya Mashidano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mshariki inayoendelea Jijini Arusha. Timu ya Tanzania ilishinda kwa goli 5-1.
Kiungo wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Bunge la
Tanzania, Ramadhan Suleiman
Ramadhan (kulia) apiga pasi mbele
ya Kiungo wa wa Timu ya Burundi wakati wa mechi ya Mashidano ya Michezo ya Mabunge
ya Jumuiya ya Afrika Mshariki inayoendelea Jijini Arusha. Timu ya Tanzania
ilishinda kwa goli 5-1.
Mshambuliaji wa Timu ya Mpira wa
Miguu ya Bunge la Tanzania, Ridhiwan Kikwete (katikati) akiwatoka Mabeki wa
Timu ya Burundi wakati wa mechi ya Mashidano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya
ya Afrika Mshariki inayoendelea Jijini Arusha. Timu ya Tanzania ilishinda kwa
goli 5-1.
Nahodha Msaidizi Timu ya Mpira wa
Miguu ya Bunge la Tanzania, Athony Mavunde
akiwatoka viungo wa wa Timu ya Burundi wakati wa mechi ya Mashidano ya
Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mshariki inayoendelea Jijini Arusha.
Timu ya Tanzania ilishinda kwa goli 5-1.
No comments:
Post a Comment