Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na viongozi kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Shirikisho hilo, Ndg. Mohamed Abdulaziz (wa kwanza kushoto) walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 10, 2022, katikati ni Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini, Ndg. Said Mek Sadik, Mjumbe wa Kamati ya utendaji na Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dodoma, Ndg. Mohamed Aden ( wapili kulia) na Msaidizi wa Spika, Ndg. James Sapali (kulia)
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Ndg. Mohamed Abdulaziz alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 10, 2022
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mb, (wapili kushoto) katika picha ya pamoja na viongozi kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Shirikisho hilo, Ndg. Mohamed Abdulaziz (kushoto) walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 10, 2022, wapili kulia ni Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini, Ndg. Said Mek Sadik na Mjumbe wa Kamati ya utendaji na Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dodoma, Ndg. Mohamed Aden
No comments:
Post a Comment