Naibu Spika wa
Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa WAJIBU Institute of Public Accountability, Ndg.
Ludovick Utouh kabla ya kufungua mafunzo ya uwazi na uwajibikaji kwa kamati
za usimamizi za Bunge (PAC, LAAC na PIC) pamoja na kamati ya Bajeti yaliyofanyika
leo tarehe 27 Agosti, 2022 katika hoteli ya Royal Village Jijini Dodoma.
Naibu Spika wa
Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akifungua mafunzo ya uwazi na uwajibikaji kwa
kamati za usimamizi za Bunge (PAC, LAAC na PIC) pamoja na kamati ya Bajeti yaliyofanyika
leo tarehe 27 Agosti, 2022 katika hoteli ya Royal Village Jijini Dodoma.
Mkurugenzi Mtendaji
wa WAJIBU Institute of Public
Accountability, Ndg. Ludovick Utouh akitoa neno la ukaribisho wakati wa
mafunzo ya uwazi na uwajibikaji kwa kamati za usimamizi za Bunge (PAC, LAAC
na PIC) pamoja na kamati ya Bajeti yaliyofanyika leo tarehe 27 Agosti, 2022
katika hoteli ya Royal Village Jijini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa kamati za usimamizi wa Bunge (PAC, LAAC na PIC) pamoja na kamati ya Bajeti wakishiriki mafunzo ya uwazi na uwajibikaji kwa kamati hizo yaliyofanyika leo tarehe 27 Agosti, 2022 katika hoteli ya Royal Village Jijini Dodoma.
Naibu Spika wa
Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa kamati
ya Hesabu za Serikali (PAC) baada ya kufungua mafunzo ya uwazi na uwajibikaji
kwa kamati za usimamizi za Bunge (PAC, LAAC na PIC) pamoja na kamati ya Bajeti yaliyofanyika
leo tarehe 27 Agosti, 2022 katika hoteli ya Royal Village Jijini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) baada ya kufungua mafunzo ya uwazi na uwajibikaji kwa kamati za usimamizi za Bunge (PAC, LAAC na PIC) pamoja na kamati ya Bajeti yaliyofanyika leo tarehe 27 Agosti, 2022 katika hoteli ya Royal Village Jijini Dodoma.
Naibu Spika wa
Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa kamati
ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) baada ya kufungua mafunzo ya uwazi na uwajibikaji
kwa kamati za usimamizi za Bunge (PAC, LAAC na PIC) pamoja na kamati ya Bajeti yaliyofanyika
leo tarehe 27 Agosti, 2022 katika hoteli ya Royal Village Jijini Dodoma.
Naibu Spika wa
Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa kamati
ya Bajeti baada ya kufungua mafunzo ya uwazi na uwajibikaji kwa kamati za
usimamizi za Bunge (PAC, LAAC na PIC) pamoja na kamati ya Bajeti yaliyofanyika
leo tarehe 27 Agosti, 2022 katika hoteli ya Royal Village Jijini Dodoma.