MAAFISA WABUNGE WAENDELEA NA UTOAJI WA ELIMU KWA UMMA KATIKA MAONYESHO YA NANE NANE KANDA YA KATI JIJINI DODOMA
Maafisa
Wabunge wakiendelea na utoaji wa elimu kwa umma kwa wageni mbalimbali wanaotembelea
Banda la Bunge katika Maonyesho ya Nane Nane Kanda ya Kati leo Agosti 05, 2022
Nzuguni Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment