Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na
Mwakilishi wa Heshima wa Tanzania nchini Uturuki, Mhe. Ziya Karahan (katikati)
alipomtembelea leo tarehe 10 Novemba, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Kushoto ni Dkt. Mbaraka Abdallah ameambatana na Mwakilishi huyo.
Spika wa Bunge,
Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na Mwakilishi wa Heshima wa
Tanzania nchini Uturuki, Mhe. Ziya Karahan alipomtembelea leo tarehe 10 Novemba,
2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge,
Mhe. Dkt. Tulia Ackson akimpatia zawadi Mwakilishi wa Heshima wa Tanzania
nchini Uturuki, Mhe. Ziya Karahan alipomtembelea leo tarehe 10 Novemba, 2022
ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge,
Mhe. Dkt. Tulia Ackson akifungua semina ya Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania
(TWPG) iliyoendeshwa na Benki ya NBC kuhusu elimu za uchumi na Biashara,
Usimamizi wa Fedha, Bima za Biashara na Maisha na Bima za hati Fungani iliyofanyika
Four Points Hall Kisasa, Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) na Watendaji kutoka Benki ya NBC baada ya kufungua semina ya TWPG iliyoendeshwa na Benki hiyo kuhusu elimu za uchumi na Biashara, Usimamizi wa Fedha, Bima za Biashara na Maisha na Bima za hati Fungani iliyofanyika Four Points Hall Kisasa, Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment