Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola, Ndg. Jarvis Matiya alipomtembelea leo tarehe 9 Novemba, 2023 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola, Ndg. Jarvis Matiya (katikati) alipomtembelea leo tarehe 9 Novemba, 2023 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Kimataifa ofisi ya Bunge, Ndg. Daniel Eliufoo.
Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola, Ndg. Jarvis Matiya alipomtembelea leo tarehe 9 Novemba, 2023 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola, Ndg. Jarvis Matiya alipomtembelea leo tarehe 9 Novemba, 2023 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Kimataifa ofisi ya Bunge, Ndg. Daniel Eliufoo. Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola, Ndg. Jarvis Matiya alipomtembelea leo tarehe 9 Novemba, 2023 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Kimataifa ofisi ya Bunge, Ndg. Daniel Eliufoo.
No comments:
Post a Comment