Mwenyekiti wa
Baraza la Wafanyakazi ofisi ya Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc ameongoza kikao cha Baraza hilo kilichopokea
taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya mfuko wa Bunge kwa Mwaka wa Fedha
2023/2024 na taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya idara ya
utawala na rasilimali watu kwa Mwezi Julai - Septemba 2023 kilichofanyika katika
hoteli na Kituo cha Mikutano cha APC Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment