Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe.
Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ndg. Ruth
Zaipuna alipomtembelea leo tarehe 7 Novemba, 2023 ofisini kwake Bungeni Jijini
Dodoma.
Spika wa Bunge na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Viongozi kutoka Benki ya NMB wakiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Ndg. Ruth Zaipuna walipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe.
Dkt. Tulia Ackson akipokea zawadi kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya
NMB, Ndg. Ruth Zaipuna alipomtembelea leo tarehe 7 Novemba, 2023 ofisini kwake
Bungeni Jijini Dodoma.
Zawadi hiyo ni ya kumpongeza Mhe. Spika kwa kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe.
Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ndg. Ruth Zaipuna alipomtembelea leo tarehe 7 Novemba, 2023 ofisini kwake
Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiagana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ndg. Ruth Zaipuna mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo tarehe 7 Novemba, 2023 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Mhe. Dkt.
Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi kutoka Benki ya NMB
wakiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Ndg. Ruth Zaipuna (kulia
kwake) walipomtembelea leo tarehe 7 Novemba, 2023 ofisini kwake Bungeni Jijini
Dodoma.
No comments:
Post a Comment