Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Mheshimiwa Stansalus Mabula akizungumza jambo wakati Kamati hiyo ilipotembelea na kukagua ujenzi wa mradi wa Soko hilo katika Halmashauri ya Mji wa Tarime.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti Mheshimiwa Stansalus Mabula wakionyeshwa mchoro wa ramani ya Soko Kuu la Kisasa lililopo katika Halmashauri ya Mji wa Tarime wakati Kamati hiyo ilipotembelea na kukagua ujenzi wa mradi wa Soko hilo.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti Mheshimiwa Stansalus Mabula wakikagua mradi wa ujenzi wa Soko Kuu la Kisasa lililopo katika Halmashauri ya Mji wa Tarime. Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti Mheshimiwa Stansalus Mabula wakikagua mradi wa ujenzi wa Jengo la Utawala la Halmashauri ya Mji wa Tarime.
No comments:
Post a Comment