WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Wednesday, January 15, 2025

WAJUMBE WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAMBO YA NJE WAPOKEA NA KUJADILI TAARIFA YA CPA NA JUKWAA LA MAZIWA MAKUU















 
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Vita Kawawa wamepokea na kujadili Taarifa za Wawakilishi wa Tanzania katika Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola (Commonwealth Parliamentary Association-CPA) Tawi la Tanzania; na Jukwaa la Maziwa Makuu (Great Lakes) katika kikao kilichofanyika tarehe 14 Januari, 2025 Bungeni Jijini Dodoma.