
Wajumbe wa Kamati ya
Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakiongozwa na Mwenyekiti,
Mhe. Vita Kawawa wamepokea na kujadili Taarifa za Wawakilishi wa Tanzania
katika Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola (Commonwealth Parliamentary
Association-CPA) Tawi la Tanzania; na Jukwaa la Maziwa Makuu (Great Lakes)
katika kikao kilichofanyika tarehe 14 Januari, 2025 Bungeni Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment