WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Saturday, September 24, 2016

SPIKA WA BUNGE AMTEMBELEA KATIBU WA CCM LEO

       Spika wa Bunge  Mhe Job Ndugai akiwasili katika Ofisi Ndogo za CCM zilizopo Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam alipofika kuzungumza na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana .

            Spika wa Bunge  Mhe Job Ndugai akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana alipomtembelea katika  Ofisi Ndogo za CCM zilizopo Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam.

            Spika wa Bunge  Mhe Job Ndugai akimsikiliza  Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Abdulrahman Kinana  alipomtembelea na kuzungumza naye katika  Ofisi Ndogo za CCM zilizopo Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam.

                Spika wa Bunge  Mhe Job Ndugai (katika) akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi  (CCM)  Abdulrahman Kinana (kushoto)  na Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka (kulia) wakati alipomtembelea Katibu Mkuu wa CCM.

    Spika wa Bunge  Mhe Job Ndugai akiagana   na Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka mara baada ya kuzungumza na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana  katika  Ofisi Ndogo za CCM zilizopo Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam.

Saturday, September 17, 2016

TUME YA UTUMISHI WA BUNGE ILIPOFANYA KIKAO NA WAFANYAKAZI WA OFISI YA BUNGE

Spika wa Bunge ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Wafanyakazi wote wa Ofisi ya Bunge wakati Tume hiyo ilipofanya kikao na Wafanyakazi hao katika ukumbi wa Pius Msekwa uliopo Bungeni Mjini Dodoma.

Naibu Spika wa Bunge ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Bunge  Dkt Tulia Ackson akizungumza na Wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge wakati Tume hiyo ilipofanya kikao na Wafanyakazi hao katika ukumbi wa Pius Msekwa uliopo Bungeni Mjini Dodoma mapema leo.

Spika wa Bunge ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Bunge Mhe Job Ndugai akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe  wa Tume ya Utumishi wa Bunge mara baada ya  kikao na Wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge .
Katibu wa Bunge ambaye pia ni katibu wa Tume ya Utumishi wa Bunge Dkt Thomas Kashililah akizungumza na Wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge wakati Tume hiyo iliopofanya kikao nao

Wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Bunge  wakiongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo ambaye pia ni Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai wakiwa katika Picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge mara baada ya kikao.