WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Monday, June 11, 2018

SPIKA NDUGAI AOSHA MAGARI KATIKA KUHAMASISHA UCHANGIAJI WA FEDHA KWA AJILI YA UJENZI WA VYOO VYA MFANO KWA AJILI YA WATOTO WA KIKE NA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akiosha magari tofauti tofauti wakati wa shughui ya kuosha Magari kwa ajili ya kuchangia fedha za kujengea Vyoo vya mfano kwa ajili ya watoto wa Kike na wenye mahitaji maalum. Shughuli hiyo imefanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.

Saturday, June 9, 2018

WATUMISHI WA OFISI YA BUNGE WAPEWA MAFUNZO

Spika Mstaafu wa Bunge Mhe. Anne Makinda (wapili kulia) akizungumza
na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati),  Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai (kushoto) na Katibu wa Bunge Mstaafu na Mbunge Mstaafu Ndg. George Mlawa (wakwanza kulia) kabla ya kuanza kwa mafunzo ya Watumishi wa Ofisi ya Bunge katika Ukumbi wa Msweka Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na Watumishi wa Ofisi ya
Bunge wakati wa mafunzo kwa Watumishi hao katika ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Kulia kwa Spika ni Spika Mstaafu wa Bunge Mhe. Anne Makinda na Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai (wakwaza kushoto).

 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na Watumishi wa Ofisi ya
Bunge wakati wa mafunzo kwa Watumishi hao katika ukumbi wa Msekwa JijiniDodoma. Kulia kwa Spika ni Spika Mstaafu wa Bunge Mhe. Anne Makinda na Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai (wakwaza kushoto).

Spika Mstaafu Mhe. Anne Mkinda akizungumza na Watumishi wa Ofisi ya Bunge wakati wa mafunzo kwa Watumishi hao katika Ukumbi wa Mswekwa Jijini Dodoma

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati ya waliokaa) katika picha  ya pamoja na Spika Mstaafu Mhe. Anne Makinda (wa pili kushoto), Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai (wa pili kulia) na Katibu wa Bunge Mstaafu na Mbunge Mstaafu Ndg. George Mlawa (wakwanza kushoto), Watumishi wa Ofisi ya Bunge na watoa Mada  (waliosimama) wakati wa mafunzo kwa Watumishi hao.

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati ya waliokaa) katika picha ya pamoja na Spika Mstaafu Mhe. Anne Makinda (wa pili kushoto), Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai (wa pili kulia) na Katibu wa Bunge Mstaafu na Mbunge Mstaafu Ndg. George Mlawa (wakwanza kushoto), Menejimenti ya Ofisi ya Bunge na watoa Mada  (waliosimama) wakati wa mafunzo kwa Watumishi hao.