Spika
Mstaafu wa Bunge Mhe. Anne Makinda (wapili kulia) akizungumza
na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati), Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai (kushoto) na Katibu wa Bunge Mstaafu na Mbunge Mstaafu Ndg. George Mlawa (wakwanza kulia) kabla ya kuanza kwa mafunzo ya Watumishi wa Ofisi ya Bunge katika Ukumbi wa Msweka Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na Watumishi wa Ofisi ya
Bunge wakati wa mafunzo kwa Watumishi hao katika ukumbi wa Msekwa JijiniDodoma. Kulia kwa Spika ni Spika Mstaafu wa Bunge Mhe. Anne Makinda na Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai (wakwaza kushoto).
Spika Mstaafu
Mhe. Anne Mkinda akizungumza na Watumishi wa Ofisi ya Bunge wakati wa mafunzo
kwa Watumishi hao katika Ukumbi wa Mswekwa Jijini Dodoma
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati ya waliokaa) katika picha ya pamoja na Spika Mstaafu Mhe. Anne Makinda (wa pili kushoto), Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai (wa pili kulia) na Katibu wa Bunge Mstaafu na Mbunge Mstaafu Ndg. George Mlawa (wakwanza kushoto), Watumishi wa Ofisi ya Bunge na watoa Mada (waliosimama) wakati wa mafunzo kwa Watumishi hao.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati ya waliokaa) katika
picha ya pamoja na Spika Mstaafu Mhe. Anne Makinda (wa pili kushoto), Katibu wa Bunge
Ndg. Stephen Kagaigai (wa pili kulia) na Katibu wa Bunge Mstaafu na Mbunge
Mstaafu Ndg. George Mlawa (wakwanza kushoto), Menejimenti ya Ofisi ya Bunge na
watoa Mada (waliosimama) wakati wa mafunzo kwa Watumishi hao.
No comments:
Post a Comment