Thursday, August 26, 2021
Wednesday, August 25, 2021
Tuesday, August 24, 2021
KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YAJADILI TAARIFA YA WIZARA YA UJENZI
Kamati ya Bunge ya Miundombinu yapokea na kujadili Taarifa ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kuhusu ujenzi wa kiwanja cha ndege cha Dodoma pamoja na ujenzi wa kiwanja cha kimataifa cha Msalato tarehe 23 Agosti 2021
Kamati ya Bunge ya Miundombinu yapokea na kujadili Taarifa ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kuhusu ujenzi wa kiwanja cha ndege cha Dodoma pamoja na ujenzi wa kiwanja cha kimataifa cha Msalato tarehe 23 Agosti 2021Kamati ya Bunge ya Miundombinu yapokea na kujadili Taarifa ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kuhusu ujenzi wa kiwanja cha ndege cha Dodoma pamoja na ujenzi wa kiwanja cha kimataifa cha Msalato tarehe 23 Agosti 2021
KAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI YAKUTANA NA WIZARA YA MAJI
Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji yakutana na Wizara ya Maji na kupokea taarifa kuhusu Usimamizi wa Rasilimali za Maji nchini hususan shughuli zinazotekelezwa na mabonde ya maji tarehe 23 Agosti 2021

KAMATI YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAPOKEA TAARIFA
Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii yapokea na kujadili Taarifa ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuhusu hatua iliyofikiwa katika maandalizi ya Muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa wote tarehe 24 Agosti 2021
Saturday, August 21, 2021
Friday, August 20, 2021
KAMATI YA BAJETI YAPEWA NAFUNZO KUHUSU KUHUSU SERA NA SHERIA YA UBIA
Kamishna Msaidizi Idara ya ubia wa sekta ya umma na sekta binafsi kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Irene Rugemalila akiwasilisha mada kuhusu sera na sheria ya ubia baina ya sekta binafsi na sekta ya umma katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Bajeti kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma

Subscribe to:
Posts (Atom)