WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Wednesday, March 2, 2016

SPIKA JOB NDUGAI AMTEMBELEA NA KUMPA POLE RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE KUAFUATIA KIFO CHA KAKA YAKE MZEE SELEMANI MRISHO KIKWETE.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai akiwasili (kulia) nyumbani kwa marehemu Mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa ajili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu wa marehemu akiwemo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kufuatia kifo cha mzee Selemani Mrisho Kikwete kilichotokea nchini India.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) mara alipowasili nyumbani kwa maraehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa ajili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu wa marehemu akiwemo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kufuatia kifo cha mzee Selemani Mrisho Kikwete kilichotokea nchini India.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mzee Mohamed Seif Khatib (kulia) mara alipowasili nyumbani kwa maraehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa ajili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu wa marehemu akiwemo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kufuatia kifo cha mzee Selemani Mrisho Kikwete kilichotokea nchini India.

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akisalimiana na Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdallah Mnyasi mara alipowasili
nyumbani kwa maraehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa ajili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu wa marehemu akiwemo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kufuatia kifo cha mzee Selemani Mrisho Kikwete kilichotokea nchini India.

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (katikati) pamoja na Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdallah Mnyasi wakijadiliana nyumbani kwa marehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete wakati Spika alipotembelea kwa ajili ya kutoa kwa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu zake leo Jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya waomborezaji waliohudhuria kuhani msiba nyumbani kwa marehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa ajili ya kutoa pole leo Jijini Dar es Salaam.

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (wa pili kulia) Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (wa pili kushoto) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mzee Mohamed Seif Khatib pamoja na Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdallah Mnyasi wakiomba dua nyumbani kwa marehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete wakati Spika alipotembelea kwa ajili ya kutoa kwa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu zake leo Jijini Dar es Salaam.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kulia) akisalimiana na baadhi ya watu waliotembelea nyumbani kwa marehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa jili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu zake leo Jijini Dar es Salaam.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai(kushoto) akiongea na
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mzee Mohamed Seif Khatib mara walipokutana nyumbani kwa marehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa jili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu zake akiwemo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete leo Jijini Dar es Salaam.


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai(kushoto) akiongea na
Mbunge wa Chalinze, Mhe. Ridhiwan Kikwete mara alipotembelea nyumbani kwa marehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa jili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu zake akiwemo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete leo Jijini Dar es Salaam.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai(kushoto) akiongea na
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete mara alipomtembelea nyumbani kwa marehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa jili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu zake akiwemo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete leo Jijini Dar es Salaam.


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai(katikati) akiagana na
baadhi wa waombolezaji mara alipotembelea nyumbani kwa marehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa jili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu zake akiwemo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akimsindikiza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai wakati akiondoka nyumbani kwa marehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa jili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu zake akiwemo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete leo Jijini Dar es Salaam.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akiagana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kutoa pole nyumbani kwa marehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu zake akiwemo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete leo Jijini Dar es Salaam.
(Picha zote na Benedict Liwenga-Maelezo)

No comments:

Post a Comment