|
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania,
Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam,
Mhe. Truong Tan Sang leo mara walipokutana kwa ajili ya mazungumzo katika
Hoteli ya Kilimanjaro 10 Machi, Jijini Dar es Salaam.
|
|
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania,
Mhe. Job Ndugai (kulia) akiongea na Rais wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam,
Mhe. Truong Tan Sang (hayupo pichani) leo mara walipokutana kwa ajili ya
mazungumzo katika Hoteli ya Kilimanjaro 10 Machi, Jijini Dar es Salaam.
Anayemfuatia ni Naibu Spika wa Bunge hilo, Mhe. Dkt. Tulia Ackson.
|
|
Baadhi ya ujumbe alifuatana nao Rais wa Jamhuri ya
Kisoshalisti ya Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang wakifuatilia mazungumzo yao leo
mara walipokutana kwa ajili ya mazungumzo katika Hoteli ya Kilimanjaro 10
Machi, Jijini Dar es Salaam. Anayemfuatia ni Naibu Spika wa Bunge hilo, Mhe.
Dkt. Tulia Ackson.
|
|
Rais wa Jamhuri ya Kisoshalisti wa Vietnam, Mhe.
Truong Tan Sang (wa pili kushoto) akiongea na Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muunhgano wa Tanzania (hayupo pichani) mara walipokutana kwa ajili ya mazungumzo
katika Hoteli ya Kilimanjaro 10 Machi, Jijini Dar es Salaam. |
|
Baadhi ya ujumbe alifuatana nao Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai wakifuatilia mazungumzo yao
leo mara walipokutana kwa ajili ya mazungumzo katika Hoteli ya Kilimanjaro 10
Machi, Jijini Dar es Salaam.
|
|
Baadhi ya ujumbe alifuatana nao Rais wa Jamhuri ya
Kisoshalisti ya Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang wakifuatilia mazungumzo yao leo
mara walipokutana kwa ajili ya mazungumzo katika Hoteli ya Kilimanjaro 10
Machi, Jijini Dar es Salaam.
|
|
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania,
Mhe. Job Ndugai pamoja na Rais wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam,
Mhe. Truong Tan Sang wakiwa katika mazungumzo yaliyohusishwa na baadhi ya
ujumbe toka nchi ya Vietnam na Tanzania leo mara walipokutana kwa ajili ya
mazungumzo katika Hoteli ya Kilimanjaro 10 Machi, Jijini Dar es Salaam.
|
|
Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika
Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (katikati)
akiongea na baadhi ya vyombo vya habari mara baada ya mkutano uliofanyika kati
ya Rais wa Jamhuri ya Kisoshalisti wa Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang na Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai katika Hoteli ya
Kilimanjaro 10 Machi, Jijini Dar es Salaam.
|
|
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania,
Mhe. Job Ndugai (kushoto) akiongea na baadhi ya vyombo vya habari mara baada ya
kukutana na Rais wa Jamhuri ya Kisoshalisti wa Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang
katika Hoteli ya Kilimanjaro 10 Machi, Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Naibu
Spika wa Bunge hilo, Mhe. Dkt. Tulia Ackson.
|
(Picha zote na Benedict Liwenga-Maelezo)
No comments:
Post a Comment