Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai akisalimiana na
Balozi wa Kongo nchini Mhe Jean-Pierre Mutamba aliyemtembelea leo ofisini
kwake Jijini Dar es Salaam. |
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai akiagana na Balozi wa Kongo nchini Mhe Jean-Pierre Mutamba mara baada ya kuzunugmza naye leo ofisini kwake Jijini Dar es Salaam. |
Mazungumzo yakiendelea |
No comments:
Post a Comment