|
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akiwasilia katika
uwanja wa Ndege wa Arusha tayari kushiriki kikao cha Kamati ya Utendaji
ya Umoja wa Mabunge Wanachama wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika
(CPA Africa Region) Jijini Arusha.

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akifungua kikao
cha 70 cha Kamati ya Utendaji ya Umoja wa Mabunge Wanachama wa Mabunge ya
Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika (CPA Africa Region) kilichofanyika Jijini
Arusha jana. |
|
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akifungua kikao cha
70 cha Kamati ya Utendaji ya Umoja wa Mabunge Wanachama wa Mabunge ya
Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika (CPA Africa Region) kilichofanyika Jijini
Arusha jana.

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akiwa katika picha
ya pamoja na Wajumbe wa kikao cha 70 cha Kamati ya Utendaji ya Umoja wa
Mabunge Wanachama wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika (CPA Africa
Region) kilichofanyika Jijini Arusha jana. Kikao hicho kinahudhuriwa na Maspika
kutoka Uganda, Mauritius, Siera Leone, na Wabunge wanaowakilisha Mabunge yao
barani Afrika katika Umoja huo.
|
(Picha zote na Ofisi ya Bunge)
No comments:
Post a Comment