|
Spika
wa Bunge la Afrika
Mashariki (EALA), Mhe.
Daniel Kidega
(katikati) akiongoza ufunguzi wa Mkutano wa tano wa Bunge hilo jana jijini Dar
es Salaam. Kulia Kwake ni Spika wa Bunge la Tanzania Mhe Job Ndugai na Kushoto
ni Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa. |
|
Spika
wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Mhe. Daniel Kidega (katikati) akiwa katika picha ya
pamoja na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe
Job Ndugai pamoja na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa mara baada ya ufunguzi wa
Mkutano wa tano wa Bunge hilo jana jijini Dar es Salaam.
|
|
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa tano
wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA)
jana jijini Dar es Salaam.
|
|
Spika
wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Mhe. Daniel Kidega (katikati) Spika wa Bunge la Tanzania Mhe Job Ndugai
pamoja na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa
tano wa Bunge hilo jana jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja na
Wabunge wa Afrika Mashariki.
|
(Picha zote na Ofisi ya Bunge)
No comments:
Post a Comment