WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Tuesday, March 8, 2016

SPIKA AKUTANA NA KATIBU KUTOKA UMOJA WA MABUNGE KANDA YA MAZIWA MAKUU NA UJUMBE KUTOKA KOREA YA KUSINI

 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai  akisalimiana na  Kiongozi wa Msafara wa Ujumbe kutoka Korea Kusini ambaye pia ni Makamu wa Rais wa cha Chuo Kikuu cha Yeugnam cha Korea Kusini Prof. Choioe Choo aliyemtembelea ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo tarehe 8 Machi, 2016.

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Ujumbe kutoka Korea Kusini akiwemo Kiongozi wa Msafara huo ambaye pia ni Makamu wa Rais wa cha Chuo Kikuu cha Yeugnam cha Korea Kusini Prof. Choioe Choo mwenye tai nyekundu. Ujumbe wa wageni hao ambao waliambatana na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Angelina Mabula.

 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Ujumbe kutoka Korea Kusini akiwemo Kiongozi wa Msafara huo ambaye pia ni Makamu wa Rais wa cha Chuo Kikuu cha Yeugnam cha Korea Kusini Prof. Choioe Choo mwenye tai nyekundu. Ujumbe wa wageni hao ambao waliambatana na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Angelina Mabula.

 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akipokea zawadi kutoka kwa Kiongozi wa Ujumbe kutoka Korea Kusini ambaye pia ni Makamu wa Rais wa cha Chuo Kikuu cha Yeugnam cha Korea Kusini Prof. Choioe Choo mara baada ya kuzungumza nao ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akiagana na Kiongozi wa Ujumbe kutoka Korea Kusini ambaye pia ni Makamu wa Rais wa cha Chuo Kikuu cha Yeugnam cha Korea Kusini Prof. Choioe Choo mara baada ya kuzungumza nao ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.

 Spika wa Bunge akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe kutoka Korea Kusini akiwemo Kiongozi wa Msafara huo ambaye pia ni Makamu wa Rais wa cha Chuo Kikuu cha Yeugnam cha Korea Kusini Prof. Choioe Choo mwenye tai nyekundu. Ujumbe wa wageni hao ambao waliambatana na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Angelina Mabula.

 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisalimiana na Katibu wa Jukwaa la Umoja wa  Mabunge ya Ukanda wa Maziwa Makuu Mhe.Prosper Higiro aliyemtembelea  ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.

Naibu Spika wa Bunge Mhe Dkt Tulia Ackson akisalimiana na Katibu wa Katibu wa Jukwaa la Umoja wa  Mabunge ya Ukanda wa Maziwa Makuu Mhe.Prosper Higiro aliyemtembelea  Spika ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.

 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai  na Naibu Spika wa Bunge Mhe Dkt Tulia Ackson wakimskiliza  Katibu wa Jukwaa la Umoja wa  Mabunge ya Ukanda wa Maziwa Makuu Mhe. Prosper Higiro aliyemtembelea  Spika ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.


Spika wa Bunge akipokea zawadi kutoka kwa Katibu wa Jukwaa la Umoja wa  Mabunge ya Ukanda wa Maziwa Makuu Mhe. Prosper Higiro aliyemtembelea  Spika ofisini kwake Jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia pembeni ni Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson.

Spika wa Bunge akipokea zawadi kutoka kwa Katibu wa Jukwaa la Umoja wa  Mabunge ya Ukanda wa Maziwa Makuu Mhe. Prosper Higiro aliyemtembelea  Spika ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.

(Picha na Ofisi ya Bunge)


No comments:

Post a Comment