WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Thursday, April 21, 2016

Naibu Spika apokea vifaa vya Zahanati ya Bunge

Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akioneshwa na Mkurugenzi wa Jaffery Ind. Saini Funiture Bw. Vishal Singh Saini  vifaa vya zahanati ya Bunge ambayo vimetolewa na Kampuni hiyo.

Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akishuhudia Madaktari wa Zahanati ya Bunge wakipokea msaada wa vifaa vya zahanati ya Bunge toka Kampuni ya Jaffery Ind. Sainiz Funiture.

Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akizungumza na vyombo vya Habari wakati  akipokea msaada wa vifaa vya Zahanati ya Bunge toka kwa Kamapuni Jaffery Ind. Saini Funiture kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo ni Vishal Singh Saini

Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akimsikiliza Mkurugenzi wa Jaffery Ind. Saini Funiture Bw. Vishal Singh Saini wakati akipokea msaada wa vifaa vya zahanati ya Bunge toka kwa Kampuni hiyo.

Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Mkurugenzi wa Jaffery Ind. Saini Funiture Bw. Vishal Singh Saini wakati akipokea msaada wa vifaa vya zahanati ya Bunge toka kwa Kampuni hiyo.

No comments:

Post a Comment