WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Thursday, April 21, 2016

SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA NSSF


Spika wa Bunge  Mhe Job Ndugai akisalimiana na Mkurugenzi mkuu wa NSSF Prof.Godius Kahyarara alipomtembelea Ofisi kwake Mjini Dodoma

Spika wa Bunge  Mhe Job Ndugai akizungumza  na Mkurugenzi mkuu wa NSSF Prof.Godius Kahyarara alipomtembelea Ofisi kwake Mjini Dodoma


Spika wa Bunge  Mhe Job Ndugai akizungumza na Mkurugenzi mkuu wa NSSF Prof.Godius Kahyarara alipomtembelea Ofisi kwake Mjini Dodoma. Katikati ni Katibu wa Spika Bw. Said Yakubu.




Spika wa Bunge  Mhe Job Ndugai akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Prof.Godius Kahyarara alipomtembelea Ofisi kwake Mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment