WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Monday, April 18, 2016

NAIBU SPIKA WA BUNGE ALIPOFANYA UKAGUZI WA UKARABATI WA UKUMBI KABLA YA KUANZA KWA BUNGE LA BAJETI.

Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson alipoingia kuanza ukaguzi

Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson akimsikiliza mtaalamu wa Majengo kutoka TBA Bw Mohammed Mohammed wakati akimuelezea jinsi ukumbi wa Bunge ulivyofanyiwa ukarabati. Naibu Spika alifanya ukaguzi wa ukarabati wa ukumbi wa Bunge kabla ya Mkutano wa Buge la Bajeti unaonza kesho Mjini Dodoma.

Naibu Spika Dkt Tulia Ackson akifafanua jambo wakati alipofanya ukaguzi wa ukarabati wa ukumbi wa Bunge kabla ya Mkutano wa Buge la Bajeti unaonza kesho. Wengine katika picha ni Katibu wa Bunge  Dkt Thomas Kashililah( wa kwanza kulia) na viongozi wengine Wabunge.

Naibu Spika Dkt Tulia Ackson akimueleza jambo  Katibu wa Bunge  Dkt Thomas Kashililah wakati alipofanya ukaguzi wa ukarabati wa ukumbi wa Bunge kabla ya Mkutano wa Buge la Bajeti unaonza kesho.

Naibu Spika Dkt Tulia Ackson akisalimiana na  Mkandarasi aliyefanyia ukarabati ukumbi wa Bunge Bw Vishal Singh Saini  wakati alipofanya ukaguzi wa ukarabati wa ukumbi wa Bunge kabla ya Mkutano wa Buge la Bajeti unaonza kesho.

Naibu Spika Dkt Tulia Ackson akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya  TEHAMA ya Bunge Bw Didas Wambura wakati akilelezea jinsi Studio ya Bunge itakavyokuwa inafanya kazi wakati wa urushwaji wa vipindi vya Bunge ikiwemo Mikutano ya  Bunge.

Naibu Spika Dkt Tulia Ackson akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya  TEHAMA ya Bunge Bw Didas Wambura wakati akilelezea jinsi Studio ya Bunge itakavyokuwa inafanya kazi wakati wa urushwaji wa vipindi vya Bunge ikiwemo Mikutano ya  Bunge.

Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akimsikiliza Mkuu wa Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano-Bunge Bw. Owen Mwandumbya wakati akimuelezea jinsi vipindi vya Bunge vitakavyorushiwa ikiwemo mikutano ya Bunge.

Naibu Spika Dkt Tulia Ackson akifafanua jambo wakati alipofanya ukaguzi wa Stusdio za Bunge kujione namna itakavyofanya kazi  kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya  TEHAMA ya Bunge Bw Didas Wambura.

No comments:

Post a Comment