WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Wednesday, April 20, 2016

SPIKA WA BUNGE ALIPOSHIRIKI MISA TAKATIFU, MASIFU NA MAZISHI YA ASKOFU MSATAAFU WA JIMBO LA DODOMA HAYATI MATHIAS ISUJA JOSEPH.

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akiwasili katika kanisa kuu katoliki Jimbo la Dodoma
Kushiriki misa takatifu, masifu na mazishi ya Askofu msataafu wa Jimbo la Dodoma Hayati Mathias Isuja Joseph

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akiteta jambo na Mweyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva wakati wa  misa takatifu, masifu na mazishi ya Askofu msataafu wa Jimbo la Dodoma Hayati Mathias Isuja Joseph katika kanisa kuu katoliki Jimbo la Dodoma.

Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim ,Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai na Mweyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva wakishiriki misa takatifu, masifu na mazishi ya Askofu msataafu wa Jimbo la Dodoma Hayati Mathias Isuja Joseph katika kanisa kuu katoliki Jimbo la Dodoma.

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akitoa salamu za rambirambi  wakati wa  misa takatifu, masifu na mazishi ya Askofu msataafu wa Jimbo la Dodoma Hayati Mathias Isuja Joseph katika kanisa kuu katoliki Jimbo la Dodoma.

No comments:

Post a Comment