Serikali yawasilisha Mapendekezo ya kiwango na ukomo wa Bajeti kwa mwaka 2016/17
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai
akizungumza kabla ya Waziri wa Fedha na Mipango hajawasilisha Mapendekezo ya
kiwango na ukomo wa Bajeti ya serikali kwa mwaka 2016/2017 wakati wa mkutano wa
Wabunge wote uliofanyika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Fedha na Mpiango Dkt
Philip Mipango akiwasilisha Mapendekezo ya kiwango na ukomo wa bajeti kwa mwaka
2016/17 wakati wa mkutano wa Wabunge wote uliofanyika ukumbi wa Mwalimu Julius
Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Waziri
Mkuu Mhe Majaliwa Kassim akiongoza kikao cha Wabunge wote wakati Serikali
ilipowasilisha mapendekezo ya kiwango na ukomo wa bajeti ya serikali kwa mwaka
2016/17. Kulia kwake ni Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai na kushoto ni Naibu Spika
Dkt Tulia Ackson.
Waheshimiwa
Wabunge wakifuatilia wakati Mapendekezo hayo wakati yakiwasilishwa.
No comments:
Post a Comment