|
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akiteta jambo na Katibu wa Bunge Dkt.
Thomas Kashililah kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati cha Kamati ya
Uongozi ya Bunge leo tarehe 2/42016 Ofisi ndogo za Bunge Jijini Dar es
Salaam.Kamati hiyo inayojumuisha Wenyeviti wote wa Kamati za Kudumu za
Bunge
ilikutana ili kufanya thathmini ya shughuli za kamati za Kudumu za Bunge
kabla ya Serikali kuwasilisha Mapendekezo ya Mpango na ukomo wa Bajeti
ya mwaka 2016/17 wiki ijayo. |
|
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha Kamati cha Kamati ya
Uongozi ya Bunge. Kamati hiyo inayojumuisha Wenyeviti wote wa Kamati za
Kudumu za Bunge ilikutana ili kufanya thathmini ya shughuli za kamati za
Kudumu za Bunge kabla ya Serikali kuwasilisha Mapendekezo ya Mpango na
ukomo wa Bajeti ya mwaka 2016/17 wiki ijayo. |
(Picha zote na Ofisi ya Bunge)
No comments:
Post a Comment