|
Naibu
Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiwahutubia
baadhi ya Wabunge kutoka nchi mbalimbali za Afrika wakati wa Mkutano wa
kujadili namna gani nchi za Afrika zinavyoweza kupinga biashara haramu ya
silaha, leo Jijini Dar es Salaam.
|
|
Naibu
Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda
na Kimataifa, Mhe. Balozi Ramadhani Mwinyi akiwahutubia baadhi ya Wabunge
kutoka nchi mbalimbali za Afrika wakati wa Mkutano wa kujadili namna gani nchi
za Afrika zinavyoweza kupinga biashara haramu ya silaha, leo Jijini Dar es
Salaam.
|
|
Mratibu
kutoka Umoja wa Mataifa Bwana Alvaro Rodriguez akiwahutubia baadhi ya Wabunge
kutoka nchi mbalimbali za Afrika wakati wa Mkutano wa kujadili namna gani nchi
za Afrika zinavyoweza kupinga biashara haramu ya silaha, leo Jijini Dar es
Salaam.
|
|
Naibu
Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kulia)
akiongea na Mkurugenzi wa Taasisi ya Parliamentarians for Global Action (PG)
Bwana Peter Barcroft (kushoto) kabla ya kuanza kwa mkutano wa siku mbili
(2-3Aprili, 2016) kujadili juu ya namna gani nchi za Afrika zinavyoweza kupinga
biashara haramu ya silaha, oleo Jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mbunge
aliyemaliza muda wake na Mwanasheria, Mhe. Pindi Chana.
|
|
Baadhi ya
Wabunge kutoka Afrika Mashariki, Magharibi na Kusini wakifuatilia mada katika
mkutano huo uliohusu namna gani nchi za Afrika zinavyoweza kupinga biashara
haramu ya silaha, leo Jijini Dar es Salaam.
|
(Picha zote na Ofisi ya Bunge)
No comments:
Post a Comment