KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HUDUMA ZA MAENDELEO YA JAMII YAKUTANA NA TAASISI YA MKAPA FOUNDATION LEO MJINI DODOMA
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Maendeleo ya Jamii, Mhe. Juma Nkamia (Mb) na Bi. Florence Kahwa, Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Mkapa foundation wakati Taasisi hiyo ilipokutana na Kamati kwa ajili ya kuwasilisha mrejesho wa ziara ya mafunzo kuhusu masuala ya rasilimaliwatu katika sekta ya afya Tanzania.
Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Mkapa Foundations, Bi Florence Kahwa akifafanua jambo wakati kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Juma Nkamia na
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Maendeleo ya Jamii, Mhe. Juma Nkamia na Mtendaji Mkuu wa Mkapa Fooundation , Bi Florence Kahwa wakati wa kikao kati ya wajumbe wa Kamati hiyo na watendaji wa Taasisi hiyo.
No comments:
Post a Comment