WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Sunday, May 8, 2016

Spika alipofungua Semina wa Chama cha Wabunge wanaopambana na Rushwa-Tanzania, Mjini Dodoma.

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akifungua Semina wa Chama cha Wabunge wanaopambana na Rushwa-Tanzania, Mjini Dodoma.

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai ( katikati) pamoja na viongozi wengine wakifuatilia uwasilishwaji wa mada wakati wa Semina wa Chama cha Wabunge wanaopambana na Rushwa-Tanzania. Wengine katika ni , Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki  (kushoto) na Cecilia Paresso (Mb) - Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho.

Wakili wa kujitegemea Bw. Said Yakubu akiwasilisha mada wakati wa Semina wa Chama cha Wabunge wanaopambana na Rushwa-Tanzania

Waheshimiwa Wabunge Wakifuatilia uwasilishwaji wa mada mbalimbali katika Semina hiyo.

Wakili wa kujitegemea Bw. Said Yakubu akiwasilisha mada wakati wa Semina wa Chama cha Wabunge wanaopambana na Rushwa-Tanzania

Washiriki kutoka UNDP  nao wakifuatilia Semina hiyo.

No comments:

Post a Comment