WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Thursday, May 12, 2016

KATIBU WABUNGE ALIPOKUTANA NA WADAU WA HABARI OFISINI KWAKE MJINI DODOMA

Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah akizungumza na wadau wa Habari kutoka Jukwaa la Wahariri, TMF, Sikika, Baraza la Habari Tanzania, Jukwaa la Katiba na TAMWA

Katibu wa Jukwaa la Wahariri Bw Nevelle  Meena akizungumza wakati wa Mkutano kati ya Katibu wa Bunge na wadau wa Habari.

Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah akimsikiliza Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Bw Deus Kibamba wakati alipokutana na wadau wa Habari Ofisini kwake.

Mkurugenzi wa Sikika Bw. Irenei Kiria akizungumza
akizungumza wakati wa Mkutano kati ya Katibu wa Bunge na wadau wa Habari.

Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah akisalimiana na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Bw Theophil Makunga
akizungumza wakati wa Kikao kati ya Katibu wa Bunge na wadau wa Habari.

Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah akizungumza na wadau wa Habari kutoka Jukwaa la Wahariri, TMF, Sikika, Baraza la Habari Tanzania, Jukwaa la Katiba na TAMWA


Kikao kikiendelea

No comments:

Post a Comment