|
Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu
(kushoto) pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Katiba,
Mhe. Najma Giga wakielekea Bungeni kwa ajili ya vikao vya asubuhi vya
Bunge hilo leo 16 Mei, 2016 mjini Dodoma.
|
|
Waziri
wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Mhe. Profesa Joyce Ndalichako
(kulia) pamoja na Naibu Waziri, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Mhe. Mhandisi Edwin Amandus Ngonyani wakielekea Bungeni kwa
ajili ya vikao vya asubuhi vya Bunge hilo leo 16 Mei, 2016 mjini
Dodoma. |
|
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (kulia) pamoja
na Mbunge wa Viti Maalul CCM, Mhe. Halima Bulembo wakielekea Bungeni
kwa jili ya vikao vya asubuhi vya Bunge hilo leo 16 Mei, 2016 mjini
Dodoma.
|
|
Baadhi
ya Viongozi wa Jeshi la Polisi, Magereza, Uhamiaji na Zimamoto
wakiingia ndani ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma kwa ajili ya vikao vya
bunge hususan kusikiliza Bajeti ya Wizara ya Mambo y Ndani ya Nchi 16
Mei, 2016 mjini Dodoma. |
|
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mikoa (OR-TAMISEMI) Mhe. Selemani Jafo akijibu baadhi ya hoja za Wabunge Bungeni mjini Dodoma. |
|
Baadhi ya Wanafunzi pamoja na wageni wengine waalikwa wakifuatilia vikao vya Bunge mjini Dodoma 16 Mei, 2016. |
|
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (kushoto) pamoja na Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mwigulu Nchemba wakiteta jambo Bungeni mjini Dodoma. |
|
Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo akijibu baadhi ya hoja mbalimbali za Wabunge kuhusiana na Wizara yake leo bungeni mjini Dodoma. |
(Picha zote na Benedict Liwenga, MAELEZO, Dodoma)
No comments:
Post a Comment