Mkuu
wa Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano Bungeni, Owen Mwandumbya
akiwasilisha hotuba yake mbele ya Wajumbe wa Semina iliyoandaliwa kwa
ajili ya masuala mbalimbali yanayohusu Bunge, 15 Mei, 2016 mjini Dodoma.
Mhadhiri wa Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT), Christopher Mushi akiwasilisha hotuba yake mbele ya Wajumbe wa Semina iliyoandaliwa kwa
ajili ya masuala mbalimbali yanayohusu Bunge, 15 Mei, 2016 mjini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa Semina wakifuatilia uwasilishwaji wa mada mbalimbali 15 Mei, 2016 mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment