Waheshimiwa Wabunge, Wafanyakazi wa Bunge pamoja na Wanachi mbalimbali wakichukua Chakula wakati wa Futari iliyoandaliwa na Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma. |
Waheshimiwa
Wabunge wakiendelea kula wakati wa Futari iliyoandaliwa na Spika wa
Bunge Mhe Job Ndugai katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
|

Waheshimiwa Wabunge, Wafanyakazi wa Bunge pamoja na Wanachi mbalimbali wakiwa wamekusanyika kwa ajili ya Futari iliyoandaliwa na Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma. |
Waheshimiwa Wabunge, Wafanyakazi wa Bunge pamoja na Wanachi mbalimbali wakiwa wamekusanyika kwa ajili ya Futari iliyoandaliwa na Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma. |
Waheshimiwa Wabunge, Wafanyakazi wa Bunge pamoja na Wanachi mbalimbali wakichukua Chakula wakati wa Futari iliyoandaliwa na Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma. |
Waheshimiwa Wabunge wakiendelea kuchukua Chakula wakati wa Futari iliyoandaliwa na Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma. |
Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson (wa pili toka kushoto) pamoja na Mawaziri na Wabunge wakiendelea kula wakati wa Futari iliyoandaliwa na Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai. |
Mhe
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim akizungumza na Mwenyekiti wa Bunge Mhe
Azzan Zungu (Mb) wakati wa Futari iliyoandaliwa na Spika wa Bunge Mhe
Job Ndugai.
|
No comments:
Post a Comment