WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Thursday, September 15, 2016

MHE SPIKA ALIPOKABIDHIWA KITAMBULISHO CHAKE CHA TAIFA

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (Mb) akipokea Kitambulisho cha Taifa kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Mwigulu Nchemba (Mb) Mjini Dodoma

SSpika wa Bunge Mhe Job Ndugai (Mb) akipokea Kitambulisho cha Taifa kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Mwigulu Nchemba (Mb) Mjini Dodoma

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisisitiza jambo wakati alipokwenda kuchukua kitambulisho chake cha Taifa toka NIDA ambao wanaendesha zoezi la kuwapatia Wabunge na Wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge Vitambulisho hivyo.

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (Mb) akipokea Kitambulisho cha Taifa kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Mwigulu Nchemba (Mb) Mjini Dodoma

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (Wakwanza kushoto) akifuatilia maelezo kuhusu namna NIDA wanavyofanya kazi wakati alipoenda kuchukua Kitambulisho chake cha Taifa. Anayetoa maelezo ni Kaimu Mkuu Kitengo cha Mawasiliano NIDA Bi. Rose Mdami

No comments:

Post a Comment