Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson alipokutana na kufanya mazungumzo na Wabunge ambao pia ni Wajumbe wa Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge kutoka Bunge la Kenya Ofisini kwake Mjini Dodoma |
Wajumbe wa Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge wa Bunge la Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa kamati kama hiyo toka Bunge la Kenya |

Wajumbe wa Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge wa Bunge la Tanzania wakizungumza na Wajumbe wa kamati kama hiyo toka Bunge la Kenya |
Wajumbe wa Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge wa Bunge la Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa kamati kama hiyo toka Bunge la Kenya |
No comments:
Post a Comment