WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Thursday, September 8, 2016

SPIKA ALIPOZUNGUMZA NA BAADHI YA WAZEE WA MKOA WA DODOMA WALIOMTEMBELEA OFISINI KWAKE MJINI DODOMA

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dodoma waliomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma. Kulia ni Kiongozi wa Wazee hao Balozi Mstaafu Job Lusinde.

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Balozi Mstaafu Job Lusinde alipomtembelea yeye na Wazee wenzake Ofisini kwake Mjini Dodoma.

: Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisalimiana na Mzee Hamisa Diwani wakati yeye na Wazee wenzake wa Mkoa wa Dodoma walipomtembelea Spika Ofisini kwake Mjini Dodoma. Wapili kushoto ni Balozi Msaafu Job Lusinde na kulia ni Mzee Ndejembi Pancras.

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai katika picha ya pamoja na baadhi ya Wazee wa Mkoa wa Dodoma waliomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma.

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dodoma waliomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma. Kulia ni Kiongozi wa Wazee hao Balozi Mstaafu Job Lusinde.

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akifurahia jambo na Balozi Mstaafu Job Lusinde alipomtembelea yeye na Wazee wenzake Ofisini kwake Mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment